Serikali: Mashine ya kwanza ya Kufua Umeme Bwawa la Nyerere itawashwa Mwezi Februari 2024

Katibu mkuu wa wizara ya nishati bwana Mramba ametangaza rasmi kuwa tarehe 25 mwezi wa pili ,mwaka 2024 ndiyo itakuwa siku ya kuwasha umeme wa bwawa la Mwl Nyerere ambalo ujenzi wake ulipingwa na chadema wote pamoja na wana ccm wengi.
Kwenye harakati za kusaini ujenzi wa bwawa hili rais wa awamu ya tano hayati Magufuli alibaki peke yake huku akipata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi wanyonge.
Bila shaka waziri wa nishati Mh Biteko hatawaangusha watanzania kwa kutaja ujasiri wa Magufulo kuanzia asubuhi hadi jioni.


View: https://youtu.be/kfSbmmjOyfY?si=jSEqvxFT_6Of9Lpo
 
Hongera japo, misitu ilikatwa mno mpaka kufikia kubadili hali hewa ya nchi yetu.
 
Na iwe kweli.

MGAO WA UMEME SIO DILI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
hautowashwa hata iweje labda tetemeko lije liondoee hii regime, jiulize kwa nini sasa hivi wanazima umeme?
 
Wewe tulishamalizana na wewe toka usiku ule wa March 17 2021 . Umebaki kubweka tuuuu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hujitambui, si ndio nyie mlisema Mama hawezi kamilisha mradi mara sijui Makamba asingeweza fanikisha n.k cha ajabu leo limeisha unataka tena credit ziende kwa JPM? ila liliposuasua mkatoa kejeli kuwa hawawezi jenga?

Mbona mnatapatapa CCM, cha ajabu bwawa litakuja na mgao hautoisha same as mlituambia gesi ingemaliza mgao milele
 
Na nyaya mpaka majumbani kwetu zinaungwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…