Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Tatizo historia..!!Ikifika Machi 2024 ndio uje kusema maigizo.
Una ugonjwa wa kuchukua na kupinga Kila kitu 😁😁
Ulichofanya jana, kinatupa uwezo wa kuona kesho unaweza fanya nini..!! Kasikilize ahadi zilizowahi tolewa juu ya kuanza kwa safari za majaribio za SGR kwenye post #35 hapo juu. Kwa bahati mbaya, kila mtoa ahadi hakuwahi sema chochote juu ya ahadi kama hiyo iliyokwishatolewa na mwezie kabla. Yaani kila mmoja anaongea kama vile jambo hilo yeye ni wa kwanza kulisema..!!
Kumbuka ahadi ya laptop kwa shule za msingi..!!
Kumbuka ahadi ya wazee wa megawati ya kuuza umeme nje ya nchi ifikapo mwaka fyokofyoko...!!!