Stella wa bunju
Member
- Jun 3, 2023
- 8
- 27
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.
Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana
More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.
Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.
Naomba msaada.