DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
Na pengine huyo ni ndg yao hawapendani wanataka tu kumuharibia kazi, ndg sometimes ni hatari.
 
Tatizo mahakama inataka ushahidi,Je utakua tayari kusimama kizimbani kutoa ushahidi wako huo?
Hii si kweli mkuu,ni wajibu wa mahakama to protect a whistle blower na inaweza kufanya hili kwa mtoa mada kutoa ushahidi wake akiwa nyumbani na audio yake wana link na court na hili including kubadilisha sauti yake, au PP kuchukua sworn statement kutoka kwa whistle blower ,ni wajibu wa police hasa foresinc dept kukusanya ushahidi hasa wa DNA,binafsi sipendi kuona innocent guy akipelekwa jela kama ya akina Babu seya, moja ya kesi ya hovyo mno uliyojaa uongo, unafiki uoga na failure ya mahakama to uphold rule of law na justice kwa victims na suspects
 
Bila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
Yes/No ILA NI WAJIBU WA POLICE KUTHIBITISHA HILI, witness walindwe na statements zao ziwe sworn na court ,DNA test ni muhimu hasa sperms ,condoms kama zilitumika na kama suspect ana facials ndani sehemu zake private parts ambazo zinaonekana tu kama yupo unchi
 
Tatizo mahakama inataka ushahidi,Je utakua tayari kusimama kizimbani kutoa ushahidi wako huo?
Mambo ya shule huwa hayahitaji ushahidi kama wa mahakamani.

Huko shuleni tume itaenda kuchunguza kwa kuwahoji wanafunzi na kuangalia mazingira.

Wanafunzi wengi wakitoa ushahidi kuhusu huyo mhasibu tayari inakuwa ni tuhuma, lakini kumpeleka mahakamani ndio inakuwa ngumu. Kitakachofanyika hapo ni kumuhamisha kama ni kweli ili asiendelee kuwaambukiza Ukimwi watoto.

Kama ana hizo tabia, akihamishwa inasaidia pia siyo lazima apelekwe mahakamani.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Nilichojifunza kwenye hiyo shule ya Machame; hiyo tabia ni ya kawaida kwenu nyinyi wanafunzi kitembea na walimu. Na jambo hili limesababishwa na kujenga urafiki uliopitiliza na walimu.

Na katika hili unatakiwa uwashauri wenzako kuacha hiyo tabia. Na mifano mizuri ni hizo pombe, na kuchaji simu.

Tukija kwenye suala la kubambikia deni, na kulipa deni baada ya kutembea naye; na penyewe pana utata. Maana mwanafunzi ukienda shule unatakiwa kupeleka mahitaji yote uliyoagizwa.

Na kama ni kuhusu malipo yahusuyo fedha, huwa mnapewa na risiti! Sasa hayo madeni unabambikiwa katika nini? Huna vielelezo vya kuonesha ulilipa? Je, uliwashirikisha wazazi wako juu ya jambo hilo la kubambikiwa madeni na huyo mhasibu wa shule?

All in all, pole sana kwa hayo masahibu uliyopitia.
 
Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu

Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.

Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana

More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.

Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.

Naomba msaada.
Pole sana Stella wa bunju, huyu mbakaji lazima afungwe.
 
CC:Waziri Wa Elimu Professor Adolf Mkenda
Watendaji Wako Changamoto Tu,
 
Limeshafika Haraka Sana Kwa Hawa Viongozi
Waziri Wa
Elimu
Afisa Elimu Mkoa, Wilaya
Mratibu Elimu Kata
Mkuu Wa Mkoa
Mkuu Wa Wilaya
 
Anaekataa hii filimbi afanye utafiti wahasibu ni kero hata kwa watoto wa vyuo, pamoja na watu wa students records na IT haya mambo yapo.
 
Anaekataa hii filimbi afanye utafiti wahasibu ni kero hata kwa watoto wa vyuo, pamoja na watu wa students records na IT haya mambo yapo.
Hakuna anayekataa mkuu, tunabalance tu kwa kuwaza tofauti.
Mamlaka zipo zitafuatlia lakini wakimkuta hana hatia nani atamlipa kwa uchafuzi wa image yake?
 
Daah maskini na kama ana ngoma anakua anaua vizazi vijavyo. Hasara kubwa kwa wazazi
 
Baadhi wanakua nao.
Inatakiwa iwe hivyo, ila kwa kiasi kikubwa shule kongwe ndio zina hao wataalamu ambao siyo waalimu mfano: Wahasibu, watu wa maktaba, watunza stoo, lab technicians.

Mpyayungu huwa analalamika ya kweli kuhusu walimu kuonewa. Unakuta mwalimu ndio muhasibu, afundishe na kufanya mambo ya fedha.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom