Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Leo tare 27.1.2025 serikali imefunga vyuo vikuu vilivyopo Dar es salaam kupisha suala la "Mkutano wa wakuu wa nchi" 🤧 pamoja na shughuli zingine za kiuchumi zimesimamishwa.
Fikiria kwa wanachuo wanaosoma DIT,NIT,IFM,TUMAINI, UDSM, ARDHI hadi ST. JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA cha mbezi nacho kimefungiwa kufanya kazi kwa siku 2 hivi serikal imeona nini hadi kuzuia visiendeleze masuala ya kitaaluma?
Fikiria tu kwa siku hizi 2 ni kiasi gani raia wataathirika na suala la mkutano, barabara 9 kuu zimefungwa na zote hizo hutumika pakubwa kuingiza na kutoa raia mjini.
Huwa ninawaza sana na ni kweli kuwa TANZANIA TUNA SERIKALI DHAIFU NA VIONGOZI VIPOFU KUWAHI KUTOKEA.