Serikali: Miji ya Arusha, Dar, Zanzibar na Dodoma kuipaisha Tanzania kuwa Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani.Ukumbi wa 2 kwa Ukubwa Afrika kujengwa

Wanajenga Arusha, huko kwingine walikotaja ni kuua tu noma kwa nini Arusha.
Kwa Dodoma lazima wajenge walau ukumbi mmja kama ule wa Jakaya Kikwete Dar maana ni Makao Makuu ya Nchi Kwa hiyo mikutano ya size ya kati wanaweza kufanyia hapo Dom.

Dar tayari Kuna kumbi za kutosha nyingi tuu labda kama ni kuziboresha.Si unaona mwaka huu Dar ime host mikutano 2 mikubwa ya Kimataifa huu wa chakula na ule wa Rasilimali watu wa wakuu wa Nchi Kwa sababu Ina mahoteli na Kila kitu.

Zanzibar inatakiwa kumbi zijengwe manaa inashangaza Kisiwa Cha Utalii wanakosa kumbi kubwa za mikutano

Arusha itaendelea kuwa Kitovu Cha Utalii na mikutano Kwa ujimla kama tuu watajenga huo ukumbi mkubwa.
 
Mna daraja refu kuliko yote Tanzania, mna SGR bado tuu hamridhiki punguzeni basi makasiriko.
SGR hata DODOMA ipo ....daraja hata nyie mngejengewa kama mngekuwa na ziwa
 
Mna daraja refu kuliko yote Tanzania, mna SGR bado tuu hamridhiki punguzeni basi makasiriko.
Sgr ipo Mwanza tu? Na ilo daraja ndio linafanya mwanza isipate mradi? Na Dar kuna madaraja mangapi na kila siku rasilimali na miradi mikubwa inapelekwa huko na mikoa mingine inaonekana kama mashambani au ni sehemu za burundi na malawi.
 
Watu wanabishana bure lakini rasilimali zetu zimetawanywa kila mahali. Unaweza kumsema Rais vibaya kwasababu za kisiasa lakini ule ukweli anapiga kazi. Pia wawekezaji wanapowekeza sehemu wanategemea return ya hiyo investment. Kwamfano jengo lililozinduliwa juzi ni la PAPU AFRICA 60% ni hela kutoka mataifa mengine na idea ya ujenzi imeanza kuanzia miaka ya 2000s sasa inapokamilika ni nongwa. Tuache chuki na siasa zisizozamsingi Tanzania itajengwa nasisi sote.
 
Nani kazungumzia jengo??
 
Nani alikwambia ujenzi umeanza 2000? Utafiti ni mhimu sana kuliko kurukia mambo tu!
 
Nani alikwambia ujenzi umeanza 2000? Utafiti ni mhimu sana kuliko kurukia mambo tu!
Tofautisha idea na ujenzi. Usikurupuke sana kukimbilia kubisha soma taratibu utaelewa kisha unakujakutoa comment zenye tija.
 
Tofautisha idea na ujenzi. Usikurupuke sana kukimbilia kubisha soma taratibu utaelewa kisha unakujakutoa comment zenye tija.
Wewe umeshasoma pendekezo la ujenzi wa PAPU lilianza lini? Unajua usilete ujuaji usio na msingi hapa! Nyinyi ndo wale watu msiokuwa na taarifa na kudakia dakia mambo tu! idea ya ujenzi ndo kitu gani? Kwanza ukumbuke hata sehemu ya kujenga walipewa kiwanja miaka ya hivi karibuni na 2019 ujenzi ukaanza!
 
Hiyo barabara ni ya East africa chief na ilizinduliwa na kikwete na kenyatta wa kenya 🇰🇪 kuhusu mradi wa maji ndio kabisa uliasisiwa na kikwete 2012 usitudangaje buana! Alafu barabara zipi hizo kila kona mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…