Hata chato nayo ni Tanzania, kwa hiyo uwanja wa ndege wa Mwanza hamuujengi kwasabb magufuli alijenga uwanja wa chato?Alikuwa haambiliki hashauriki haelekezeki na chawa wake walikuwa watu wa tajiri huna baya ukifa hauozi
Tumieni huo huo wa Chato kwani una kazi gani.Hata chato nayo ni Tanzania, kwa hiyo uwanja wa ndege wa Mwanza hamuujengi kwasabb magufuli alijenga uwanja wa chato?
Una kazi ya kuanikia matako yenuTumieni huo huo wa Chato kwani una kazi gani.
Hahaahaha mbona mna jazba kama marehem mwendakuzimu?Una kazi ya kuanikia matako yenu
Mbona Arusha imebebwa kuanzia 1961 na Mikoa mingine kusahauliwa, Nyerere alifanya kosa kubwa sana. na bado mikakati inasukwa kuimaliza kanda ya ziwa,haitawezekana. Wekeni international airport kama KIA na Songwe,JNIA na Zanzibar.Mwanza ilibebwa sana na Magufuli wakati anakomesha Arusha na kilimanjaro .
Arusha leo hakuna hata stand ila mji wa utalii.
Mwanza wamepewa miradi mingi maradufu zaidii ya Arusha shida ni miradi ya kipumbavu.
Wakati jiwe anajenga international Airport porini chato mlikaa kimya mkaona ni sawa.
Wapi panahitaji international Airport kati ya mwanza na chato??
Nyerere aliikumbatia sana Arusha mbka alisahau kwao, kila kitu kikawa Arusha na Dar tu pengine akawa anaona kama ni burundi😂Mbona Arusha imebebwa kuanzia 1961 na Mikoa mingine kusahauliwa, Nyerere alifanya kosa kubwa sana. na bado mikakati inasukwa kuimaliza kanda ya ziwa,haitawezekana. Wekeni international airport kama KIA na Songwe,JNIA na Zanzibar.
Naomba unitajie Arusha imebebwa kwa lipi toka 1961??Mbona Arusha imebebwa kuanzia 1961 na Mikoa mingine kusahauliwa, Nyerere alifanya kosa kubwa sana. na bado mikakati inasukwa kuimaliza kanda ya ziwa,haitawezekana. Wekeni international airport kama KIA na Songwe,JNIA na Zanzibar.
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.
Aidha Inatarajia kujenga ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa ambao utakuwa wa pili Kwa Ukubwa hapa Africa jijini Arusha Kwa jina la Mount Kilimanjaro International Exhibition Centre kuanzia mwaka huu.
View: https://twitter.com/TZEmbassyCN/status/1698724924758831191?t=sIGcW5K9wGNa8GtcLOqehw&s=19
My Take
Wapi Mwanza na Mbeya mbona Zinatengwa Kwa Kila kitu? Hakuna Hoteli Wala Viwanja vya michezo. Why Kila kitu ni Dar,Arusha,Dom na Zanzibar tuu?
MK-ICC to be built in Arusha
View attachment 2946698
--
International conference Tourism is becoming more potent in boosting Tanzania's global appeal, with the government, through the Foreign Affairs Ministry, stating that strategies are in the pipeline to make Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, and Zanzibar leading conference destinations in Africa.
Addressing journalists at the State House in Dar es Salaam, the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Samwel Shelukindo, said that President Samia Suluhu Hassan has decided to make Tanzania Africa's top choice in hosting international conferences.
He says so far this year, Tanzania has hosted/will host two big global conferences: Africa Heads of State Human Capital Summit back in July and the Africa Food Systems Forum to be hosted on September 5.
Shelukindo said that these conferences come with a host of benefits to the country, including foreign exchange, boosting tourism, increasing money supply, and also providing good exposure for Tanzania.
As a result, he says the government plans on expanding the Arusha International Conference Centre (AICC) and also plans on building more international conference centres in Dar es Salaam and Zanzibar. Tanzania will also build the second-biggest conference centre in Africa.
Source: The Citizen
Utalii wa Mikutano na Makongamano(MICE): Tanzania yapanda hadi namba 5 Africa kutoka namba 15
Nyota ya Rais Samia inazidi kuiwakia Tanzania. Tanzania imechaguliwa kuwa Nchi ya 5 katika Bara la Africa Kwa Utalii wa Mikutano,Makongamano na Maonesho Kwa mwaka 2022 ikitoka kuwa namba 15 awamu ya 6 (2015-2020).Tanzania imetanguliwa na Nchi za Kenya,Morroco,Rwanda na South Africa. List...www.jamiiforums.com
Mama hana mbambamba kazi imeanza 👇 👇Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.