Serikali Mikoa ya Kusini ni Kama mmeisusa

mkadiriaji majenzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
260
Reaction score
569
Habari wana jamvi.
Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi.
Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea.
Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi.
Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi kuuona.
 

Kusini wamejaa wajinga wengi ndio mana wanadharauriwa hawathaminiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…