Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ila tusisahau wapo pia mafisadi wanao dhulumu raia Kwa kutumia nafasi zao kuwabomolea nyumba na kuvuruga uendelezaki wa viwanja vya raia wanavyodai ni maeneo yao makubwa wanayomiliki kihalali,Ilhali SI kweli ila ujanja ujanja TU🤔Hao ndio Panya rodi wa viwanja.