Serikali mkitaka mabasi ya mwendokasi yadumu nyie fungeni SPEED GAVANA

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Barabara za mwendokasi ni nyembamba na zina kingo kubwa ni uzembe kwa serikali kuacha madereva wa mwendokasi wanaendesha zaidi ya speed 40!

Chanzo kikubwa cha ajali mabasi ya mwendokasi kinatokana na mambo mawili

1. Speed kubwa- unakuta dereva anaendesha mpaka speed 80! hii ikitokeza shida kdogo tu dereva anashindwa kumudu analeta ajali.

2. Madereva wa mwendokasi kutofuata sheria! unakuta sehemu ina ZEBRA hasa vituoni! ila dereva anapita na mwendo wa ngiri! je hii no sawa!? mwisho wa siku mabasi yanakufa kwa uzembe wa kutofuata sheria!

Suluhisho ya hili tatizo ni kuyafungia GAVANA yasizidi spidi 40 hio itaokoa vifo sana
 
mkuu kwa dar hakuna sehemu utaendesha 80kph, hayo yakimara likikimbia sana ni 40kph
 
Barabara za mwendokasi ni nyembamba na zina kingo kubwa ni uzembe kwa serikali kuacha madereva wa mwendokasi wanaendesha zaidi ya speed 40!

Chanzo kikubwa cha ajali mabasi ya mwendokasi kinatokana na mambo mawili

1. Speed kubwa- unakuta dereva anaendesha mpaka speed 80! hii ikitokeza shida kdogo tu dereva anashindwa kumudu analeta ajali.

2. Madereva wa mwendokasi kutofuata sheria! unakuta sehemu ina ZEBRA hasa vituoni! ila dereva anapita na mwendo wa ngiri! je hii no sawa!? mwisho wa siku mabasi yanakufa kwa uzembe wa kutofuata sheria!

Suluhisho ya hili tatizo ni kuyafungia GAVANA yasizidi spidi 40 hio itaokoa vifo sana
Mkuu jaribu kufanya utafiti kwanza kabla ya kuleta humu mawazo yako.

Zile bus za phase one nyingi zilikuwa zimewelewa limit ya speed (governor) na utumiaji wa limit kwa mradi ulikuwa ni mwisho 49 KPH au zingine zilikuwa 51 KPH sehemu yenye mteremko kama ubungo maji pale sio tena utadhibiti mendoza bali ni momentum ndio utaona gari inakimbia zaidi ya ilivyosetiwa
 
What is the point of word Mwendokasi... Marehemu Mwinyi alipanda basi akasema anasikia Uroda
 
Back
Top Bottom