Serikali/mkopaji/mkopeshaji?

Serikali/mkopaji/mkopeshaji?

BssU

Senior Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
126
Reaction score
213
Biashara nyingi zimejifunga kwa kipindi hiki. Mtu kachukua mkopo wa biashara na pesa zote kaziwekeza kwenye biashara. Biashara imejifunga kwa sababu zilizo juu ya uwezo wa binadamu wote Duniani. Leo unampigia kelele marejesho.

Na unajua biashara zimejiweka karantini, sasa hiyo hela kaitolea wapi ya marejesho?. SERIKALI IPO NA HAIZUNGUMZII HILI. Kama sio kulazimishana kuvunja sheria za Mungu??. Hiki ni kipindi cha serikali na mamlaka husika kulinda uchumi wa wanyonge wao. Au NENO WANYONGE Lina maana mbili tofauti?

Binafsi hili ni swala la kuangaliwa kiundani zaidi na serikali maana likiachwa hivihivi litaleta tatizo baadae.
Nawasilisha hoja

 
Back
Top Bottom