LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
China ni kirusi ambacho wenye akili washakishtukia ila mataifa yaliyolala naona bado tunamchekea tu
Ukitaka kumjua mchina ni kirusi muulize jux alishawahi kutengeneza Tshrts hadi kofia zake zenye quality ya juu akawa anauza 25 , na zilikuwa ni quality ,mchina anachukua idea akaenda kuzalisha zake copy akazishusha hapo zikawazinauzwa 10,000 feki mwishowe swala likafikishwa kwenye sheria maana yake alikuwa anauwa brand na ajira za watu
Kwa sasa ajira za watanzania asilimia kubwa zimeshachukuliwa na wachina sijui kama watu wanalielewa hilo
Kwa sasa nchi imerelax kila kitu inaagiza china hadi njiti za kusukutua meno,chupi hadi kanga ni kutoka china nchi viwanda haina kila kitu tunaagiza china maana yake viwanda vya china wale vijana wao ndio wananufaika sasa na ajira bidhaa zote zinazoagizwa kutoka china ni nyingi sana zaidi ya vijana laki moja au 2 wa kichina wananufaika sababu hiyo
Serikali ilishatakiwa mda kumbana mchina kwa kodi kubwa hapo bandarini achague kodi kubwa au ajenge viwanda hapa kodi iwe ndogo ili vijana wapate ajira, Kanga zilishatakiwa kupigwa marufuku kutoka nnje au zipigwe kodi kubwa ili viwanda viwe hapa pesa ibaki nchini watu wapate ajira
Nguo kama suti,nguo za kike zilishatakiwa kupigwa kodi ndefu kwa zinazotoka nnje na atakaefungua kiwanda cha nguo hapa kodi iwe ndogo ili mchina ajenge viwanda kuepuka huo msala vijana wale ajira
Sasa kwa sasa mmeruhusu kila kitu kinatoka china hadi fenicha mnategemea hao mafundi hapo keko na vijana wa veta watapata ajira?
Bidhaa za kichina zinatakiwa kupandishiwa kodi mara 100 kwa sharti ambalo kama atajenga viwanda hapa kodi itaondolewa watu wale ajira na kupata ujuzi , viwanda vya nguo vilitakiwa viwe hapa hapa hawa vijana wanaosoma kushona veta mnategemea wataenda mtaani kufanya nini kama mnacheka na mchina.
Nchi yoyote ili iendelee na ajira ziwepo ni lazima kuwepo na chain ya Mzalishaji wa viwandani alafu anamuuzia Mtu wa godown na wa godown anampasia wa jumla wa jumla anaenda kwa warejareja hapo unatengeneza ajira za watu wanne
Na kila kiwanda lazima kiwe na ajira njingi kama mafundi,wahasibu,watu wa osha na wengine wengi maana yake viwanda vinazalisha ajira nyingi
Sasa ukiwa mlaini kila kitu kitoke china wewe huuzi nnje na huna viwanda ndani vya kutosha unategemea vijana watapata wapi ajira
Ni muda muafaka Bidhaa za China zinatakiwa kubanwa la sivyo tutaendelea kuwa na taifa la vijana wasio na ajira angalieni Trump anachokifanya hataki utani anataka usawa hakuna kuliwa pasipo kula, sisi mchina anatuvuna vilivyo sisi hatuuzi vitu vya maana kwake mnategemea tutaendelea?
Unakuta suruali ya kichina kariakoo imetoka china hadi hapo kariakoo inauzwa 10,000 , kwa huu mfumo mnategemea mafundi wa ndani wanaoshona watauza bidhaa zao?
Kama suruali imetoka china hadi hapa ikauzwa 10,000 imelipiwa kodi sh ngap Kuanzia huko kwo.hadi kuisafirisha hadi hapo bamdarini?
Tusicheke na mchina