serikali mmeona madhara ya kutowasikiliza walimu

serikali mmeona madhara ya kutowasikiliza walimu

mjuaji

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
166
Reaction score
22
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO DAIMA
 
hiyo mbona moja tuu tegemea mengi kitokea hapo baadae. watajua tuu umuhimu wa mwalimu.
 
Mgomo baridi ni hatari.JK
alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa
hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi
kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao
kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi
wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio
chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO
DAIMA

mkuu wako bizz na "Dr. Slaa" na kutulisha ujinga wa mwenyekiti kupitia "mafanikio ya serikali ya awamu ya nne" kupitia vipindi vya tv na radio....
 
hiyo mbona moja tuu tegemea mengi kitokea hapo baadae. watajua tuu umuhimu wa mwalimu.

mkuu subiri usikie kwenye vipindi vya "mafanikio ya serikali ya baba riz" uone elimu ilivyopanda, ilhali vijana wanaanza form hawajui kusoma wala kuandika...
 
Wakubwa serikalini hawana haja ya kuwasikiliza walimu kwa vile watoto wao hawasomi kwenye shule husika. Wanasoma nje au kwenye academias zilizotapakaa nchini. Rejea mgomo wa madaktari ambapo Kikwete hakuhangaika nao akijua wazi kuwa yeye na watu wake wanatibiwa nje kwa kodi zetu. Dawa hapa si mgomo baridi bali kugoma haswa na kuilazimisha serikali kuingilia kati. Vinginevyo tunahujumiana sisi kwa sisi wakati watesi wetu wakiendelea kutanua kwa kodi zetu.
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO DAIMA
 
Wanabodi
Matokeo ya darasa la 7 mwaka huu ni mabaya sana waziri atayatangaza mwezi huu au mwanzoni mwa januari.
Mpaka maafisa elimu wameambiwa wachukue waliopata 70 badala ya 100 na kuendelea hawa wakifika sekondari mwaka jana waliofaulu hawajui kuandika wala kusoma 5000 mwakani watakuwa maelfu.
Wakikutana na walimu waliopuuzwa kwa madai yao ya msingi tutegemee bomu.
Hayo yakiwa yanajiri viongozi wetu hasa vijana wanahangaika na Dr slaa kaondoka na kadi yake aliyonunua alipokuwa ccm
Huku wa serikali anzia kesho wakianza kueleza mafanikio swali la kujiuliza hayo mafanikio hayaonekani mpaka yaelezwe yatangazwe
Wakifanya hivyo darasa la 7 au kiwango cha elimu kitakuwa, kero za walimu zitatulika na mlo mmoja kwa siku itakuwa miwili.
Tatizo la ajira litapungua kwa kusikia maendeleo
Mie nashukuru wanayatangaza wakati watazima matangazo ya analog watayaona wao kwa wao wenye vingamuzi na ma dstv mwananchi wa kawaida atakuwa anapotezwa na habari za tv anarudishwa enz za kusikiliza mkulima redio
 
Wako busy kuwaandama viongozi wa Chadema kwa kutumia nguvu na racilimali za Watanzania wote..! Shame kwa wale wote waliomo humu JF ambao wanajijua hawaendi chooni bila ya kutetea uozo.. Wanaosoma shule hizi ni watoto wa ndugu zenu..
 
Tanzania nchi yangu! Najaribu kuangalia miaka 20 ijayo itaonekana vipi!!! Naliona kundi kubwa la raia wasiokuwa na elimu na maskini wakutupwa....likiongezeka! Nafasi kati ya walonazo na wasokuwanazo ikiongezeka!!..!
 
wanadhani cc punda sio wacha wasome namba sasa. na wakija sec tunawapokea tu bila shida wanaatend mwisho wa siko div 0 za kutosha. walimu tumeanza ujasiriamali mtaji ukitimie unaquit job yao ya kuzingua unaingia kitaa. daadeki:majani7:
 
Na bado,hilo trela picha kamili ni matokeo ya kidato cha4,chezea walimu wewe!!!!!.Mimi nawaambia bila walimu kuongezewa mishahara lazima kieleweke nchi hii kazini wanaenda lakini madogo watasikilizia
 
kweli tanzania zaidi uijuavyo maendeleo yanatangazwa kwa kodi za wananchi wananchi hawayaoni hayaonekani hayakamatiki hizo pesa za vipindi vya tv si zingetatua changamoto zinazotukabili hata za vyoo kuna shule choo cha shimo cha wanafunzi issue kama vifaa maabara tumeshindwa
 
acheni kuleta taarifa ambazo source zenu ni radio mbao asubuhi kuna mtu amesema kikwete ameagiza wachukuliwe marks50 sasahivi wewe unasema 70 source zenu za ki inteligensia kama za kova?
 
Wanabodi
Matokeo ya darasa la 7 mwaka huu ni mabaya sana waziri atayatangaza mwezi huu au mwanzoni mwa januari.
Mpaka maafisa elimu wameambiwa wachukue waliopata 70 badala ya 100 na kuendelea hawa wakifika sekondari mwaka jana waliofaulu hawajui kuandika wala kusoma 5000 mwakani watakuwa maelfu.
Wakikutana na walimu waliopuuzwa kwa madai yao ya msingi tutegemee bomu.
Hayo yakiwa yanajiri viongozi wetu hasa vijana wanahangaika na Dr slaa kaondoka na kadi yake aliyonunua alipokuwa ccm
Huku wa serikali anzia kesho wakianza kueleza mafanikio swali la kujiuliza hayo mafanikio hayaonekani mpaka yaelezwe yatangazwe
Wakifanya hivyo darasa la 7 au kiwango cha elimu kitakuwa, kero za walimu zitatulika na mlo mmoja kwa siku itakuwa miwili.
Tatizo la ajira litapungua kwa kusikia maendeleo
Mie nashukuru wanayatangaza wakati watazima matangazo ya analog watayaona wao kwa wao wenye vingamuzi na ma dstv mwananchi wa kawaida atakuwa anapotezwa na habari za tv anarudishwa enz za kusikiliza mkulima redio

Siku zote kinachoniuma mimi ni kwamba bomu hilo litakuja kumlipukia mwingineee... Waliosababisha pengine watakuwa hawapo au "wamepumzika" wanakula maisha. So unfair!
 
Duuu ....! 70/250 = 28%. Mimi nakumbuka mwaka 1997 nilifaulu kwenda hapo Mzumbe kwa alama 142/150= 94.7% hivi! Yaani
Hisabati 50,Maarifa 44 na Lugha 48! Sasa ... daaah! I hate politics.... I hate politicians...... I hate .....all dhaifu people! Over..
 
Optical Mark Reader ' OMR' huwa haidanganyi na haina siasa! Teh! Teh! Teh!

  • 😕

Tanzania nchi yangu! Najaribu kuangalia miaka 20 ijayo itaonekana vipi!!! Naliona kundi kubwa la raia wasiokuwa na elimu na maskini wakutupwa....likiongezeka! Nafasi kati ya walonazo na wasokuwanazo ikiongezeka!!..!

mabadiliko yako karibu ndugu yangu,kinachotakiwa ni mimi,wewe na yule mpenda Tanzania,tufunge mikanda kuikomboa nchi yetu upya.
 
Hata Mkoba akiandaa mgomo mwingine hatugomi,tumeisha jua mbinu mbadala na kila mwalimu ameishapewa.TYuendelee na mbinu hizo walimu walalahoi.Serikali isipotujari hasda kimalipo na marupurupu mazuri mbeleni watakosa watataalamu.Msubiri kidato cha 4 na cha pili mtakubali mwalimu huwezi kumchezea.Peeeeeeeeeeeeeeeeeepleeeesssss.......2015 NI M4C.
 
Back
Top Bottom