nachid
JF-Expert Member
- Apr 14, 2011
- 937
- 203
serikali inabidi ijiulize upya, jua ukikamatwa ugoni kwa mke wa mtu thn mwenye mke mke akakuambia we nenda tu nimekusamehe nina hakika utaomba adhabu mwenyewe na ndivyo ilivyo kwa mgomo baridi ni hatari zaidi bora wangegoma mpaka hasira zao zingeisha halafu wangerudi kazini haya yasingetokea TULIOMBEE TAIFA