Mgomo baridi ni hatari.JK
alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa
hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi
kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao
kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi
wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio
chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO
DAIMA
hiyo mbona moja tuu tegemea mengi kitokea hapo baadae. watajua tuu umuhimu wa mwalimu.
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO DAIMA
Wanabodi
Matokeo ya darasa la 7 mwaka huu ni mabaya sana waziri atayatangaza mwezi huu au mwanzoni mwa januari.
Mpaka maafisa elimu wameambiwa wachukue waliopata 70 badala ya 100 na kuendelea hawa wakifika sekondari mwaka jana waliofaulu hawajui kuandika wala kusoma 5000 mwakani watakuwa maelfu.
Wakikutana na walimu waliopuuzwa kwa madai yao ya msingi tutegemee bomu.
Hayo yakiwa yanajiri viongozi wetu hasa vijana wanahangaika na Dr slaa kaondoka na kadi yake aliyonunua alipokuwa ccm
Huku wa serikali anzia kesho wakianza kueleza mafanikio swali la kujiuliza hayo mafanikio hayaonekani mpaka yaelezwe yatangazwe
Wakifanya hivyo darasa la 7 au kiwango cha elimu kitakuwa, kero za walimu zitatulika na mlo mmoja kwa siku itakuwa miwili.
Tatizo la ajira litapungua kwa kusikia maendeleo
Mie nashukuru wanayatangaza wakati watazima matangazo ya analog watayaona wao kwa wao wenye vingamuzi na ma dstv mwananchi wa kawaida atakuwa anapotezwa na habari za tv anarudishwa enz za kusikiliza mkulima redio
Tanzania nchi yangu! Najaribu kuangalia miaka 20 ijayo itaonekana vipi!!! Naliona kundi kubwa la raia wasiokuwa na elimu na maskini wakutupwa....likiongezeka! Nafasi kati ya walonazo na wasokuwanazo ikiongezeka!!..!