Hivi siyo Blandina kweli huyu...?!Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO DAIMA
duuu ....! 70/250 = 28%. Mimi nakumbuka mwaka 1997 nilifaulu kwenda hapo mzumbe kwa alama 142/150= 94.7% hivi! Yaani
hisabati 50,maarifa 44 na lugha 48! Sasa ... Daaah! I hate politics.... I hate politicians...... I hate .....all dhaifu people! Over..
Mgomo baridi ni hatari.JK alisema walimu watumie za mbayumbayu na wakamsikia mkuu wa nchi yao .kwa hili nimewakubali.inasemekana wanafunzi wa primary 2012 wamefeli hadi kufikia hatua ya wanafunzi wenye maksi 70 badala ya maksi 100 nao kuruhusiwa wachaguliwe wajiunge na secondary 2013.kwani wanafunzi wamefeli sana.na hii ni kutokana na serikali kutowasikiliza walimu kilio chao cha kuongezwa mshahara na kulipwa madai yao.VIVA WALIMU.MSHIKAMANO DAIMA