Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

Yani wewe jamaa sijui una Nini huu ni kama Uzi Wa tatu hivi nauona kutoka kwako unapambana tu na walokole utafikiri kelele ndo changamoto pekee kwenye nchi yako
Mi nimehisi huyu jamaa ni mchawi sasa maombi ya walokole yanamharibia mitunguli yake!
 
Hata wakati wa kulala watafute mishe sio?
Itakuwa wewe umenunua eneo ukawakuta hapo. Halafu huku Pwani kuna kuvumiliana kwa hizo inshu ni ustaarab wa pwani miaka mingi.
 
Bora inge kuwa serikali ya mwenda zake wange tii huyu mama wateule wake wana mdharau sana nenda kwa mkuu wa wilaya kalalamke uone kama atakusikiliza wakuu wa wilaya wengi wao ni warokole au wakirito waisilamu ndio kabisa wanaogopa kuitwa wadini wa kuwanyamazisha warokole ni wananchi wenyewe sio waziri wa mazingira
 
Kengele la Roma linasaidia kujua masaa, linaamsha wanafunzi na wafanyakazi, n.k, na kujua muda,na Adhana inasaidia kujua mda, na watu wamezoea toka Enzi, hizi dini mpya zimekuwa kero kwa watu, kelele kila Mara mziki kwa sauti ya juu, kwao sherehe tu, hakuna mpangilio, alafu kulazimisha watu kwenda kusali kwao.
 
Hii amani iliyopo hii inayokufanya una type bila wasiwasi!

Hao ndugu ndio wanahusika moka KWA MOJA na hio kitu!!

Si unaona kwenu KULE KWA pk KILA siku hati hati ya kupinduliwa hamna amani bali amani ya mtutu KILA saa hiyo no kutokana na kupiga marufuku makanisa ya kiroho eti hadi uwe na PhD!!
 
Hapo inatakiwa ushukuru upako kuamia jiran na wewe, nguvu zote za kishetani zitashindwa mtaa huo, jitahidi ukatoe sadaka ya shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…