[mention]GENTAMYCINE [/mention]
mkuu bado kwa hili tena sikuungi mkono.
Kama serikali inataka kudhibiti kelele inatakiwa iweke sheria itakayokuwa na fair ground kwa taasisi zote za kidini na madhehehu yote.
Mbona kanisa la roma linapiga kengele kubwa na kama lile kengele la saa 6 usiku ndo linastua watu.
Ratiba za kengele (niko karibu na kanisa la roma approx. 3-4 kilomitas)
-saa 12 asubuhi
-saa6 mchana
-saa9 alasiri
-saa 12 jioni
-saa 2 usiku
-saa 6 usiku.
Je, Hizo si kelele Genta?
Kwahyo isiwe walokole, RC, (wakristo kiujumla) na waislam wote sheria iwe fair. no noise kwa wote siyo saa 10 nasikia “”swalaa swalaa sijui atakayelala hatooiona pepo sijui kile”
Nshomile
kwasasa kahama,Tanzania