Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia

Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia

Don Billionea

Senior Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
152
Reaction score
204
Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia.

Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi wanatangaziwa mitaani mkajiandikishe, ila lilipokuja suala la NIDA walifanya chapchap wanafika saanne asubuh saanane mbio, yan ilikuwa kama shughuli ya magendo ad watu zaid ya asilimia 60 hatukupata NIDA kabisa.

Tulikuwa tunadamka saa9 usiku tunapanga mstari watu wengi kinoma tunaenda na mashuka yetu alaf wao wanafika saanne na bado hatukufanikisha waliishia kutupa namba tu tena baada ya miaka miwili

KURA IMEKUWA KIPAUMBELE SANA KWA SERIKALI
 
Vitambulisho vinawapa ulaji na mamlaka ya kula keki ya Taifa
 
Mi Huwa sipigi kura na kitambulisho cha mpiga kura sina
 
Back
Top Bottom