Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi?

Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio kujisifu tumefunga WIFI ili hali hazitumiki hizo bando mnanunua za kazi gani sasa?
Kuna watu wamegeuza mradi wao ukitaka password wanakucharge pesa ili wakuandikie password.

Swali ni kwamba hizo WIFI mlizofunga zinatumika ? Kama mmefunga na hazitumiki ni matumizi mabaya ya kodi
 
Yuko sahihi soko moja wapo lililoweka wifi ni bukoba rwamishenye aiseh sema wameweka na mfumo wa malipo kabsa unafika pale buku ni masaa 12 yaan kama vile wifi mtaani wamezungua sana wangetuachia sisi hiyo show
1000157452.jpg
 
Back
Top Bottom