Serikali mna jukumu la kuwasaidia hao Vijana wa NETO na Watanzania wote na sio kuwaletea ukorofi. Tusiwe kama Watu wasio na AKILI tusiojali

Serikali mna jukumu la kuwasaidia hao Vijana wa NETO na Watanzania wote na sio kuwaletea ukorofi. Tusiwe kama Watu wasio na AKILI tusiojali

Ualimu ni KADA iliyodharauriwa tangia Awamu ya kwanza

Shida ilianzia pale waliofeli Ndio walipelekea Ualimu
Sidhani kama wasio na ajira ama wahitimu walio mitaani wote ni waalimu ijapo NETO ni kundi LA waalimu.

Ishu ya msingi inayoletwa na kundi hili ni kulaghaiwa na serikali kuwaambia someni tena kwa gharama kubwa na kisha kuwaacha masikini wasio na msaada si tu kwao bali hata kwa familia zao ..wamebaki masikini.

Mfano serikali imewahujumu na inaendelea kuwahujumu wazazi ambao wanalazimishwa kupeleka watoto wao shuleni wakati kumbe hata huko shule waalimu hawatoshi. Tunaambiwa kuna upungufu wa waalimu 250,000 na vijana wenye taaluma hiyo walio mitaani ni 150,000, kumbe soko lao lipo kubwa tu lakini serikali ndo haitaki kutoa pesa kuajiri.

Wazazi wanalipa kodi ili serikali iajiri waalimu wa kutosha watoto wao wapate elimu bora shuleni lakini serikali imekalia hizo pesa wako wanagawana alafu wansema wakajitolee, huu ni uhujumu kwa wazazi na hao vijana wa taifa hili. Nguvu kazi inapotea na kizazi kinaharibika. Vipi hawa kesho wakaamua kuwa wahasi kwa nchi yao nani atabeba lawama??
 
Back
Top Bottom