Halafu baada ya muda utarudi kusema tumepigwa 1.5TUna wivu na umeshindwa kutoka hapo ulipo maskini mkubwa wewe
Likizo bila malipo ila wanamalipo( yaan kituoni inaonekanika yuko likizo bila malipo ila anapokea mshahara kama kawaida inachezeshwa utumishi)Wa likizo bila malipo ipo kisheria mana hapokei mshahara. Tatizo ni huyo wa masomoni halafu hasomi huku akipokea mshahara.
Yote kwa yote, sijajua nchini Tanzania ni watumishi gani wanaoridhika na mishahara yao bila kuiba!
Mh cjui hapo wanafanyeje mbn kuna ugumu maan kituon watatuma taarifa za mtumish kuwa asilipwe.sasa analipwaje.Likizo bila malipo ila wanamalipo( yaan kituoni inaonekanika yuko likizo bila malipo ila anapokea mshahara kama kawaida inachezeshwa utumishi)
Du!Likizo bila malipo ila wanamalipo( yaan kituoni inaonekanika yuko likizo bila malipo ila anapokea mshahara kama kawaida inachezeshwa utumishi)
Anavyoonesha ni muungwana.Angesema.Swali Moja kwako ungekua wewe unapata gawio ungesema
Hamna kitu hapo hao ndio wanaona wamekosa hivyo anaona aharibie wenzieAnavyoonesha ni muungwana.Angesema.
Kwani kukamata mwizi ni kosa kisheria?Hamna kitu hapo hao ndio wanaona wamekosa hivyo anaona aharibie wenzie
Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia ngazi za huko juu Utumishi mkuu hao pia ndio chanzo cha hizi dili...Msipoangalia mtazalisha tena watumishi Hewa