Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kama hela anzopata zinamtosha kwa matibabu na zingine zinabaki acha adundwe tu hata kila wikiAnatafuta maisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hela anzopata zinamtosha kwa matibabu na zingine zinabaki acha adundwe tu hata kila wikiAnatafuta maisha...
Mkuu, maisha yenyewe ya kibongo mbona ni kama ngumi za uso tu na ndiyo maana idadi ya watu wenye matatizo ya akili inazidi kuongezeka.Mandonga sio bondia hata yeye analijua Hilo ni.comedian .
Hakuna Bondia anayepigana kila wiki..
Na jinsi alivyokuwa kiazi anaachia tu uso ili ngumi ziingie vizuri.
Baada ya muda ataanza kupata matatizo ya ubongo maana ngumi zinaingia Sana usoni na huwa anaanguka Kama kiroba
Mapambano mengine hata hayatambuliwi na chama Cha ngumi,
Kwani huyo jamaa kabla ya mwaka juzi alikuwa anapiga mishe gani?Mkuu, maisha yenyewe ya kibongo mbona ni kama ngumi za uso tu na ndiyo maana idadi ya watu wenye matatizo ya akili inazidi kuongezeka.
Uloyasema ni kweli, lakn mandonga kajipata na ndio wakt sahihi wa kupiga Hela, Kwa ujinga aluonao ndio mtaji wake now,👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅
Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo?
Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga anastahili kuangaliwa tu na kuachwa acheze mchezo huo,bila kuzingatia hali yake?
Kwanini Mtanzania huyu haonewi huruma? Mandonga anafanya mapambano bila ya kupumzika, kwamba haichukui muda akimaliza pambano hili, mara unasikia wiki ijayo anaenda kupigana na Bondia mwingine.
Chama cha Ngumi wanamtambua Bondia huyo lakini na wanamfwatilia?
Ni jambo la kusikitisha sana, nimeambiwa Mandonga anatarajiwa kufanya pambano visiwani Zanzibar tena 😥
Mimi nashauri kama Mtanzania kuwa serikali imzuie Mandonga kwanza asicheze, sio kwakuwa hafai kucheza mchezo huo, lakini inawezekana Mandonga anahitaji elimu zaidi juu ya mchezo huo.
Tukumbuke Mandonga ana familia ambayo inamuhitaji na mchezo huo ni wa hatari. Vipi Mandonga aje afie Ulingoni?
Ahsante sana.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nyumba iko kwenye kupaua labda ..Acha akusanye kusanye ...😅
Tuache wivu na Maendeleo ya mtu,Mandonga nenda Zenji mwaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅
Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo?
Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga anastahili kuangaliwa tu na kuachwa acheze mchezo huo,bila kuzingatia hali yake?
Kwanini Mtanzania huyu haonewi huruma? Mandonga anafanya mapambano bila ya kupumzika, kwamba haichukui muda akimaliza pambano hili, mara unasikia wiki ijayo anaenda kupigana na Bondia mwingine.
Chama cha Ngumi wanamtambua Bondia huyo lakini na wanamfwatilia?
Ni jambo la kusikitisha sana, nimeambiwa Mandonga anatarajiwa kufanya pambano visiwani Zanzibar tena 😥
Mimi nashauri kama Mtanzania kuwa serikali imzuie Mandonga kwanza asicheze, sio kwakuwa hafai kucheza mchezo huo, lakini inawezekana Mandonga anahitaji elimu zaidi juu ya mchezo huo.
Tukumbuke Mandonga ana familia ambayo inamuhitaji na mchezo huo ni wa hatari. Vipi Mandonga aje afie Ulingoni?
Ahsante sana.
Mpiga debe wa Msamvu huyoKwani huyo jamaa kabla ya mwaka juzi alikuwa anapiga mishe gani?
Maana kaanza kusikika mwaka jana
Babu nyumba ipo kwenye Renta,tunahitaji kumalizia na kupaua👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅