Serikali mnusuruni Mandonga

Mkuu, maisha yenyewe ya kibongo mbona ni kama ngumi za uso tu na ndiyo maana idadi ya watu wenye matatizo ya akili inazidi kuongezeka.
 
Mkuu, maisha yenyewe ya kibongo mbona ni kama ngumi za uso tu na ndiyo maana idadi ya watu wenye matatizo ya akili inazidi kuongezeka.
Kwani huyo jamaa kabla ya mwaka juzi alikuwa anapiga mishe gani?
Maana kaanza kusikika mwaka jana
 
Uloyasema ni kweli, lakn mandonga kajipata na ndio wakt sahihi wa kupiga Hela, Kwa ujinga aluonao ndio mtaji wake now,
Tambua kua ujinga unamda mfupi sana na unaweza kukusaidia ukiutumia vyema.

Mfano wa kina Piere Liquor, wako wp, ujinga ilimbeba kama hakutumia Ile fursa vyema ishapita.

Mandonga piga Hela tutakuchoka mda si mrefu na huu ndio wakt wako sahihi kutafta mtaji.
 
Tuache wivu na Maendeleo ya mtu,Mandonga nenda Zenji mwaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Babu nyumba ipo kwenye Renta,tunahitaji kumalizia na kupaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…