Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Amina
 
Nawe unaamini huo upumbavu? Ingekuwa hivyo Kibatala aliyesimamia kesi ya Bilionea Msuya angeishi kwa amani? Wakati ndugu wa marehemu wote wawili yaani Erasto Msuya na mdogo wake wanajua kabisa mke wa Erasto ndiyo amewaua ila tu technicality ya sheri na rushwa imemsaidia? Hao nyumbu ni zero brain. Halafu jamii wa watu walioko huku hawapo kiuhalisia huku uraiani. JF ya siku hizi siyo ya kuifuatilia, ni virtual society haipo ktk uhalisia mpk uje humu. Mambo mengi ni uzushi, uwongo, ushabiki, upotoshaji. Ndiyo hasara ya mitandao
Huu ni kweli
 
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.

Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.

Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.

We are watching.
Hizo kampeni zingeelekezwa kwa anayemtuma na kumtumia ambaye yupo juu ya mahakama.
 
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Hana kosa anafata ushahidi kabambe na wa uhakika kutoka kwa mpelelezi kabambe na aliyebobea anaenda kwa jina la SACP Mafwele.
 
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.

Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.

Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.

We are watching.

Waswahili husema mshaharaa wa dhambi ni MAUTI. Sasa jamaa ameanza kuogopa kivuli chake mwenyewe.
 
Baba hauchukua mzigo wa mwanae,Wala mwana hatauchukua mzigo wa babaye!Kila roho itendayo Dhambi ndio itakayokufaa!
Kumuua huyu hatajutia makosa yake maana hatakuwepo duniani lakini ukimuulia watoto ndiyo atapata uchungu na kujutia makosa yake, nia ni kumuadhibu yeye.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom