Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
Amina
 
Huu ni kweli
 
Hizo kampeni zingeelekezwa kwa anayemtuma na kumtumia ambaye yupo juu ya mahakama.
 
Hana kosa anafata ushahidi kabambe na wa uhakika kutoka kwa mpelelezi kabambe na aliyebobea anaenda kwa jina la SACP Mafwele.
 

Waswahili husema mshaharaa wa dhambi ni MAUTI. Sasa jamaa ameanza kuogopa kivuli chake mwenyewe.
 
Baba hauchukua mzigo wa mwanae,Wala mwana hatauchukua mzigo wa babaye!Kila roho itendayo Dhambi ndio itakayokufaa!
Kumuua huyu hatajutia makosa yake maana hatakuwepo duniani lakini ukimuulia watoto ndiyo atapata uchungu na kujutia makosa yake, nia ni kumuadhibu yeye.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…