Wakawashike mashati? πππ
DaahKwa mwendokasi hali si itazidi kuwa mbaya wakuu? Maana na hili jua+kuoga kwa manati si shida hii!!!
Poleni watu wa Kibangu na kwingine kwenye shida ya maji, kuna maeneo utadhani tunaishi karibu na Ikulu ya Chamwino, yakikata jana, ndani ya 24hrs mzigo unarudi
Sikujua kwamba watu wa Crimea wana jeuri hivi? Hivi habari za Crimea Bridge zimefika wapi kweli?Kunyweni, ogeni na pikieni uhuru wa kuongea na democrasia
Si ndio mliyokuwa mnayataka?
Maeneo ya kibangu juu huku mitaa ya kwa mdee,kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji...
Sasa huyo marehemu wenu ndio angejigeuza wingu kuleta mvuwa?Kunyweni, ogeni na pikieni uhuru wa kuongea na democrasia
Si ndio mliyokuwa mnayataka?
Siri yangu mkuu, ila inabidi mnunue maji ya dispenser ili walau passport size ihusike, tusipokuwa makini suffocation huko kwa mwendokasi itafanya tuuane.Daah wapi huko
ππππ mizigo sio mizigoWatu wa huko Kibangu mtanuka papuchi na pumbu.
Poleni sana CCM mbere X2