Serikali mpo wapi watu wa Ubungo Kibangu wiki ya 3 hatuna maji hata tone, DAWASA wametutelekeza

Siyo mzeeeee!!!
 
tupo china, tunakunywa maji ya kung fu, Kazi na bata. Si ndo maisha tuliochagua ?Yan nisile bata niangaikie familia na mwili wako, pambana na hali yako
 
Huduma kwa wateja ukiwapigia wanajibu majibu mepesi mpaka unatamani kuwatukana
Mlitaka demokrasia na kutawaliwa na wamjini aka borntown. Sie wachunga ng'ombe huwa Ni kuchapa kazi tu nakulamba matak00 watu hatujui.
Sie Ni bornvillage Ila cheki na borntown muwe mnaona Ni wapi wawe wanaongoza.
Anzia na nyerere Ni bornvillage na akachunga ,cheki Moringe sokoine.
Sema madelu amekuwa limbukeni.nipeni Kura nimechunga ng'ombe na nimezaliwa bush Hawa rushwa Ni risasi hadharani hakuna huruma. Kama huridhiki na mshahara kaa nyumbani, wakati unaiona milioni ndogo Kuna mtu Ana elimu kubwa kuliko wewe anatamani aipate hata ya laki tano Ila inakosa. Ofisi ya serikali isiwe vijiwe vya kupigia stori,watumishi Ni watumwa wa wananchi na sio mabwana wa wananchi.
Miktaba ambayo haina maslahi kwa Taifa letu inatenguliwa. Yaani wanatafutiwa kosa kidogo tunafumua upya mktaba.nikiingia kwanza huu wa tanesco wa 69bilioni nauvunja fasta.
Mabwawa yatajaa maji,na umeme kukatika itakuwa Ni history na sio kutumia kigezo Cha USA umeme kukatika Kama kuharilisha kukatika kwa umeme kwetu. Kila mtu atalipa Kodi hakuna kukumbatia wakwepa Kodi. Yaani lipa Kodi kwa mujibu wa Sheria na sio kuonea mtu.kila kitu kitakuwa wazi,miktaba yenye maslahi mapana na Taifa itawekwa mubashara kupigiwa Kura na kutolewa maoni ya watanzania Mana nchi Ni yenu.
Kila shilingi inayopatikana na itakavyotumika itakuwa wazi
 
situlikubalina kwamba kubenea aliwachelewesha sana na kwanza hajasoma mkaletewa le profeseli, kuleni jeuri yenu na bado mwaka huu msipohamia burundi hamchomoki nyambafff
 
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mmeambiwa mmejenga kiholera mabomba yanashindwa kupandisha maji kuja kwenu, kwa hio tulieni injection pump zinafanyiwa kazi
Kwa hyo yalivokua yanatoka walikua wanatumia nn???
 
Wenzangu na mm huu ndo muda wa kuangalia maeneo ya kuishi,kibangu nshaikata. Bora kimara barut yangu.
 
Tulieni kidogo utatuzi unafanyiwa kazi,lakini pia shida ni mwalimu
Siku nyingine hamtakosa maji
 
Mlitaka rais mwenye huruma anayejua kubembeleza yule aliyeenda zake aliwakosesha furaha alikuwa katili sana. pambaneni aisee
 
Mlitaka rais mwenye huruma anayejua kubembeleza yule aliyeenda zake aliwakosesha furaha alikuwa katili sana.
Yaani bana majuzi hapa shaka akatoka kumpongeza kwa kusafiri mno nje yaani ameshasafiri nchi Kama 25 hivi. Mana tulilalamika kuwa yule hajui English ivyo anaogopa kusafiri.raisi wa uchina na urusi sawa hata wakisafiri wanaongea lugha zao translator wapo.
Ila bana blacks anajiona Kama amesoma kwa kuongea lugha za wanaume wenzake.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dar raha sana,sasa simtakiwa mnanuka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…