Yeye mwenyewe ana 2025 feverMh. Job Ndugai kesha vunja ukimya.
Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika.
Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya.
Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa nchini.
Kama watu wametajwa hadi kwa majina yao hadharani, huko faraghani je hali itakuwa vipi?
"Mmekomaa ofisini kwamba nyie mliwekwa na Mungu? Au?"
Job Ndugai aseme neno la faraja sasa. Hayuko peke yake.
Kupitia kwake, Tanzania yenye mihimili iliyo na uhuru kamili karibu itazaliwa.
Mungu atupe nini?
... very funny! Hizi hangover za "imechapishwa fomu moja tu" hazina afya kabisa kwa taifa!Yeye mwenyewe ana 2025 fever
Yeye mwenyewe ana 2025 fever
Mpaka kiti chenyewe kikalike sawasawa na mwenye.Mwenyekiti
Sio rahisi mkuu, ngumu kumeza; wacha wakomae mpaka kieleweke. Labda Mh. raisi ataingiwa na roho ya huruma na kuwanusuru wengine....just saying"Mmekomaa ofisini kwamba nyie mliwekwa na Mungu? Au?"
Ndungai Hana tyme hyo...yeye ni mhimili unaojitegemea , aliomba msamaha kama uungwana wa kitanzania japo hakutakiwa kufanya hvyo mana hakuna kosa alilolifanya kikatiba , badala yake karudishiwa maneno ya dharau na kejeli , .....!! Kama vipi amfukuze kazi ndugai but kujiuzuru big nooo
Ndugai ajiuzulu tu, japo sote tunajua hana kosa.
Alipoamua kuomba msamaha tu ndio mwisho wa kuupiga mwingi ulipoishia.Ajiri uzuru kwa sababu ipi, labda useme wamng’oe hapo sawa, ndugai ameupiga mwingi mnooo hatakiwi kujiudhuru , akijiudhuru ni udhaifu wa kiuoga pia atakuwa ameonesha, akomae mpaka wamtoe ma fisi wenzie
WAMEKUWA KAMA KUPE WATAONDOLEWA KILAZIMAMh. Job Ndugai kesha vunja ukimya.
Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika.
Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya.
Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa nchini.
Kama watu wametajwa hadi kwa majina yao hadharani, huko faraghani je hali itakuwa vipi?
"Mmekomaa ofisini kwamba nyie mliwekwa na Mungu? Au?"
Job Ndugai aseme neno la faraja sasa. Hayuko peke yake.
Kupitia kwake, Tanzania yenye mihimili iliyo na uhuru kamili karibu itazaliwa.
Mungu atupe nini?
Ajiuzulu nini?Ndugai ajiuzulu tu, japo sote tunajua hana kosa.
Ajiri uzuru kwa sababu ipi, labda useme wamng’oe hapo sawa, ndugai ameupiga mwingi mnooo hatakiwi kujiudhuru , akijiudhuru ni udhaifu wa kiuoga pia atakuwa ameonesha, akomae mpaka wamtoe ma fisi wenzie
WAMEKUWA KAMA KUPE WATAONDOLEWA KILAZIMA
Bunge ndilo sauti ya wananchi, spika hatoki hadi bunge livinjwe uitishwe uchaguzi mkuu!!
Alipoamua kuomba msamaha tu ndio mwisho wa kuupiga mwingi ulipoishia.
Do you mean our commander in chief is weak!!?