Serikali Mpya iko Mlangoni, Hata wa kujiuzuru Hamna?

Alikuwa na hoja ya msingi sana. Lakini the moment alipoamua kuikana na kuikana nafsi yake aliharibu kila kitu.

Ndugai kaomba msamaha kiungwana yaishe bila shaka kuwa ujumbe umefika.

Walioombwa msamaha hawataki.

Anasema Mahatma Gandhi:

 
Ndiyo na mimi nikakuuliza, unamaanisha Amiri Jeshi wetu mkuu ni dhaifu?

Ndiyo maana nikakujibu:

"mwuungwana ukiombwa msamaha ukakataa hata uswahilini watakushangaa."

Neno "samahani" kwa lugha ya kiswahili halikubakiza kitu!
 
Ayubu aendelee kukomaa hivyo hivyo. Kwanza anatakiwa apige come back moja matata sana. Dont back down JoBo.

Hadi tulipo Jobo kama ni mechi tuko 1 - 1. Lango la Jobo likiwa salama zaidi.
 
Embu tuelezee amfukuze kazi kivipi? Je rais ana mamlaka ya kumfukuza speaker wa bunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…