haweza kupasuka kibofu cha mkojo? lita nane ni kama ndoo nzima
Ila nyimbo zake nzuri sana
Uko wapi nikufate nambie nipajuee...sauti yake ilikuwa tamu sana
hapo imependeza.Mwenye picha ya muonekano wa sasa wa Ray C atupieAtakuwa bize na kukojoa ataacha kuwaza kujiua
Tusubirie wadauhapo imependeza.Mwenye picha ya muonekano wa sasa wa Ray C atupie
asant mpnzTusubirie wadau
Hilo la pili.Hivi huyu dada ni ngada tu insumbua au anaumwa pia?
Kisaikolojia hayuko Sawa so apatiwe msaadaMtu anayetaka kujiua anatoaga taarifa.?
Serikali imsaidie nini sasa hapo.?
Ok..ngoja nimtumie meseji kikwete maybe ataona tunamsaidiajeNdo mumsaidie sasa nyie wenye nchi
Atajijua mwenyewe.. serikali tuna Mambo mengi sana ya kufanya tuna mradi wa umeme rufiji unatusubiri,tuna reli tunajenga...tuacheni kwanza labda jaribuni kuomba kwa MUNGU