Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

Si yupo ulaya uyu kutwa kutupostia picha akibadili ndege afe tumzike, mtu aliyekuwa anamdekea ruge tushamzika are tu watu wamezika mama, baba, watoto sembuse yeye
 
Inasikitisha kuona watu wanatoa maneno ya kubeza kuhusu maisha ya mtu. Labda ingekuwa vizuri na wao wapitie ugumu wa maisha ili wajifunze kwamba shida inaweza kumpata mtu yeyote.
 
Kilichopangwa na Mungu mwanadamu hawezi kupangua , huyu binti kiukweli siyo riziki .
 
Kuna watanzania wapuuzi sana,mtu anaomba msaada wao wanakebehi .
 
Atajijua mwenyewe.. serikali tuna Mambo mengi sana ya kufanya tuna mradi wa umeme rufiji unatusubiri,tuna reli tunajenga...tuacheni kwanza labda jaribuni kuomba kwa MUNGU

Hahahaahaaha, Leo umeongea jambo la maana sana..Serikali ina vitu vingi vya kufanya zaidi ya kuangaika na haya..
 
Back
Top Bottom