mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Mkuu umeme?Mlio karibu yake mshaurini ale mboga mboga na matunda kwa wingi na afanye mazoezi na aache uzembe na ujinga
Kuna watanzania wapuuzi sana,mtu anaomba msaada wao wanakebehi .
Hahapia atafute bwana wa kumuoa azae
HahaKama 8 kwa kuanzia
Msaada pekee anaostahili wakati huu ni kigharamia mazishi yake tu, maana mpuuzi kweli kweli...Halafu ni tapeli sana, kitu kingine anasaidiwa hasaidiki.
Pole kwake
Sasa mbona unasema uelekezwe alipo?Mwambie atuelekeze kwake tumpelekee kamba za kujinyonga au kama anataka kujiua Kwa kutumia sumu Mimi nitagharamia.....
Mtu anayetaka kujiua huwa sio muongeaji Kwenye mitandao
Inasikitisha kuona watu wanatoa maneno ya kubeza kuhusu maisha ya mtu. Labda ingekuwa vizuri na wao wapitie ugumu wa maisha ili wajifunze kwamba shida inaweza kumpata mtu yeyote.
Wamsaidie kitu gani wakati ameamua mwenyewe kujiondoa duniani?Tusichukulie poa, mtanzania mwenzetu anapitia wakati mgumu.
View attachment 1088842
View attachment 1088843
View attachment 1088844
Asasi za kiraia pia zisaidie katika hili
Mbona Ray c amesaidiwa sana,asaidiwe nini tena?
Halafu ni tapeli sana, kitu kingine anasaidiwa hasaidiki.
Pole kwake
Mtu anayetaka kujiua anatoaga taarifa.?
Serikali imsaidie nini sasa hapo.?
pia atafute bwana wa kumuoa azae
huyo kaishiwa hela tu,aache kudeka afanye kazi au laa,ameze vidonge vya usingizi apumuzike
Hivi huyu dada ni ngada tu insumbua au anaumwa pia?
Tusichukulie poa, mtanzania mwenzetu anapitia wakati mgumu.
View attachment 1088842
View attachment 1088843
View attachment 1088844
Asasi za kiraia pia zisaidie katika hili