Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

Kuna watanzania wapuuzi sana,mtu anaomba msaada wao wanakebehi .

Ameshasaidiwa sana lakini hataki kubadirika, tena anabahati maana alikuwa akipewa msaada na Rais... kwa sasa ni vyema Serikali ikasaidia wenye uhitaji maana yeye hana uhitaji...
 
mod achen usinich, watanzania wangapi hawana hata uwakika wa kula,wengine wapo mahospitalini. yeye nani mpaka asaidie aliambiwa ale sembe, akijinyonga tutacheza nyimbo zake redion, barnaba classic atatunga nyimbo kama kawaida yake, kisha tutamsahau, ungeniambua bakhera anataka kujinyonga hata Mimi ningechukua zamu yake kwa maana ni MTU muhimu sana kwa taifa,
 
Mkuu huyo unayemtetea kishasaidiwa mara nyingi sana, msaada wa kipesa, kitabibu na kiushauri.
Halafu ni mtu mzima na anaakili, mwenyewe ameshawahi kujuta na kuahidi mabadiliko na kuwaonya watu wengine kutojiingiza ktk yale yaliyompelekea yeye kuwa ktk hali hiyo..

Kufanya kosa waswahili husema sio kosa, kosa kurudia kosa!
Huyu wacha afe tu, tuna mambo mengi ya kufanya na muda ni mchache!!!!
Pengine kifo chake kitakuwa somo kwa wapuuzi wengine kama yeye!!
Haiwezekani mtu mzima unasaidiwa leo, kesho, keshokutwa halafu bado unarudia tena ujinga huo huo, tena kwa kuweka mbiu ili wale wanaokucare wajiandae...
Inasikitisha kuona watu wanatoa maneno ya kubeza kuhusu maisha ya mtu. Labda ingekuwa vizuri na wao wapitie ugumu wa maisha ili wajifunze kwamba shida inaweza kumpata mtu yeyote.
 
Ray c anahitaji faraja zaidi ina maana humu Jf hawezi kujitokeza mzalendo?
 
Back
Top Bottom