Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala la mtu mmoja. Marekani iko tayari kutuma jeshi kumkomboa mtu mmoja tu.
Lakini serikali muwe makini na tekateka zenu za kijinga mkija kumteka Mtanzania ambaye ana Uraia wa Marekani na kumpoteza kama Polepole kwasababu tu ya tweet au jumbe za kisiasa mtakuwa moja kwa moja utangazaji wa hali ya hatari na Marekani kwa sheria zake wanaweza kutuma jeshi kuja kumtafuta au kumuokoa na wakifanya hivyo hata wakitumia mabomu sheria zao zinaruhusu.
Msije kujidanganya na kufikiri mnaweza kuwachezea chezea tu Raisi wa Marekani. Hii ni nchi ambayo haigopi kupigania watu wake sehemu yeyote.