mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
kwa mazingila ya mjini inawezekana maana hawana pa kujificha ili kukusanya mapato ya wakubwa wao.ndio maana askari wa nje ya mji hawakai na raia kudhibiti uharifu kwa madeleva.wanahakikisha wanakaa pekeyao pembeni kabisa nje ya mji ili kudili na wenye vyombo vya moto.ila kwa mjini hawawezi kujitenga na watu.wewe ukiangalia hata ile sehem waliosimama walijiona wapo pekeyao lakini kumbe mpigapicha alikua gorofani nyuma yao.Mimi nahisi sio kweli,watapokeaje rushwa waziwazi hivyo? Ni polisi hewa na ishu imetengenezwa ili jeshi la polisi lionekane linachukua hatua dhidi ya maaskari wake.