Serikali mtafutieni Mandonga kazi yakufanya: vipigo anavyopata tutampoteza

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni

Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa.

Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
 
hahahh tuko pamoja nae mpaka wamuue.
 
Huyo mganda nae pumzi hana, kama mandonga angesimama pale basi huenda angeshinda.

Na ubaya wote round 3 tu wako hoi bin taaban wanataman pambano liishe full mikumbato tu.

Kiduku nae katwangwa na msouth aloo.
 
Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni

Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa.

Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
Labda ni mandonga mtu kazi wa kupigwa!
 
Back
Top Bottom