Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
hahahh tuko pamoja nae mpaka wamuue.Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni
Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa.
Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
Yule dogo wa South yupo njema.Huyo mganda nae pumzi hana, kama mandonga angesimama pale basi huenda angeshinda.
Na ubaya wote round 3 tu wako hoi bin taaban wanataman pambano liishe full mikumbato tu.
Kiduku nae katwangwa na msouth aloo.
Yule ni Bondia haswaa.Yule dogo wa South yupo njema.
Kabisa mkuu, amerusha sana ngumiYule ni Bondia haswaa.
Labda ni mandonga mtu kazi wa kupigwa!Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni