Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

Mi nahisi shida ni elimu kwa wengi
Wengi kutokuelewa madhara nk
Energy drinks ni jipu
 
Hakuna Upuuzi kama huu hivi nyie shule hata primary school haikuondoa kabisa ukoko vichwani mwenu?


Wewe ulienda shule kupata elimu au kuhudhuria madarasa tu??!!

Bila shaka Wewe umeajiriwa katika kiwanda hicho cha kutengeneza hizo sumu ndio maana umeshikwa na khofu ya kuachishwa kazi baada ya hizo sumu kupigwa marufuku na serikali--- You benefit from the expense of people's live.

Bongolala weee!!
 
Mkiambiwa mkasome hamtaki.mnakaa vijiweni kubishana demu flani mkali anatembea na flani. Darasan you dont attend. But worse enough you dont even open up your little light brain to learn from the elders. You stiff necked fool young boy. Fools die always for lack of wisdom. Thats their great destruction.


You blindfool, you first go and learn good English before coming here with your naked chicken brain poor English to argue with me.


انت مجنون
 
You blindfool, you first go and learn good English before coming here with your naked chicken brain poor English to argue with me.


انت مجنون
You wish you knew english. Unfortunately you will never, with that brain of yours.... Very sorry for your parents having such a very stupid young boy. If you can correct my sentences i will give you a very nice piece of advice. Tell your brother in law to write for you again.😂
 
If you can correct my sentences i will give you a very nice piece of advice.


Stupid motherfucker, Go to your girl friend and present to her the above sentence of yours as I don't have time to expose how poor you are in English. By the way, who taught you to write in a sentence pronoun "i" in small case instead of capital I ??!!.🤣
 
Vijana ni jalala la kila kitu.

Energy drinks, pombe, al-kasusu, Mundende, Kasongo power, Mwafya, Pweza etc
hapana na sisi tunatakiwa kujumlisha na kutoa pia..sio kila kitu ww oya oya tu lazima ujiulize..kinakatisha sana tamaa hadi kina dada ndo walevi wakubwa sana wa hayao mambo..nasikia eti akitoka kufanya mapenzi na kwa bahati mabaya akajisikia kama ameanza dalili za mimba akipiga hiyo basi kila kitu kinavurugika
 
Stupid motherfucker, Go to your girl friend and present to her the above sentence of yours as I don't have time to expose how poor you are in English. By the way, who taught you to write in a sentence pronoun "i" in small case instead of capital I ??!!.🤣
siku nyngne mjinga usimjibu atajijibu mwenywe...alikuwa hataki kuchangia hoja huyo ..aloikuwa na yake tu..labda bando lilikuwa linakarbia kwisha
 
Tufahamisheni maana wengine sisi zinatusaidia hasa wakati wa kuendesha gari mwendo mrefu zaidi ya masaa 8, na inakata kweli (Fatigue) mradi zisizidi kopo 2
cc Nafaka
hata kama unandesha gari lakini unatakiwa kujiweka kwenye matumizi sahihi..kila siku ukiendesha gari kama utakuwa ndo mtindo wako huo basi kazi itakuwa ngumu sna mbeleni
 
Mkianza kusema madhara ya energ drinks mtakua mnakosea itabidi mseme hata ugali ina madhara kiafya hakuna kisichokua na madhara ila matumizi anayo muhusika...
 
Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.

Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.

Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!

Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa "Usinywe kabla ya kwenda kulala, asitumie mama mjazito au anayenyoyesha, pili asitumie ambaye anadhuriwa na caffeine"

Zuio hili wataalamu wanatakiwa walitolee ufafanuzi. Mfano, nitajuaje ninadhuriwa na vitu vyenye caffeine.

Kwanza hiyo caffeine ni kitu gani? Cha ajabu maelezo yalimo kwenye vinywaji hivi yameandikwa kwa Kiingereza.

Inashangaza kidogo, lazima kuna kitu hapa!
Kma we utumii bac
 
Back
Top Bottom