DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.

-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango.
-Unyanyasaji kwa wafanyakazi.
-Halipi WCF mfanyakazi akiumia kazini ni juu yake.
-Pombe zinatengenezwa kwenye mazingira mabovu( Hamna vitendea kazi kwa wafanyakazi)

Serikali naomba mlimulike hili.
 
Fungua na wewe kiwanda
Ajiri watu walipe mshahara
Wakati mwingine serikali hukaa kimywa ili wawekezaji wazawa wajitafute wapate mitaji

Sasa mtu kama ww mwenye mentality ya kimasikini unaanzisha mada ya kipumbavu

Ndio mana mm nimeajiri mkewangu na watt kwqnza ili nione kiwanda changu cha alizeti kinafika wapi

Fungua na ww kiwanda kama ni rahisi ivo
 
Ulipe TRA halafu pesa wanatumbua akina makonda katika misafara yao ya chama.
Msafara una v8 50
Hakika kulipa sio halali kwangu kabisa nikiona watu wanavyofanya na kodi zetu hainingii akilini kabisa ila kwalqzima nitalipa ila sio kwa hiari yangu
 
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.

-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango.
-Unyanyasaji kwa wafanyakazi.
-Halipi WCF mfanyakazi akiumia kazini ni juu yake.
-Pombe zinatengenezwa kwenye mazingira mabovu( Hamna vitendea kazi kwa wafanyakazi)

Serikali naomba mlimulike hili.
wanazalisha visungura ee🐒
 
Fungua na wewe kiwanda
Ajiri watu walipe mshahara
Wakati mwingine serikali hukaa kimywa ili wawekezaji wazawa wajitafute wapate mitaji

Sasa mtu kama ww mwenye mentality ya kimasikini unaanzisha mada ya kipumbavu

Ndio mana mm nimeajiri mkewangu na watt kwqnza ili nione kiwanda changu cha alizeti kinafika wapi

Fungua na ww kiwanda kama ni rahisi ivo
Hivi unajielewa kweli? Utajirike kwa kumgongo wa wafanyakazi wako? No NSSF tutaishi vipi uzeeni. Usijingalie ww tu
 
Acha kazi hapo nenda kaajiriwe pengine ili ukizeeka uishi vizuri uzeeni.
 
Nimelikumbuka sakata la kiwanda cha aina hiihii kiitwacho Shujaa cha Shinyanga kilivyowatoa ngeu Meneja wa TRA Mkoa na RPC wa mkoa ule kwa kashfa ya aina hiihii.
 
Back
Top Bottom