Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua madhara yanayoletwa na TCCHuu uzi una watu wajinga sana. Hamuoni janga la magonjwa ya figo ,cancer etc. Nyie mnachojali maslahi ya mwenye kiwanda undezi mtupu
Kwanza kabisa tunakushukuru kwa taarifa hii na kukupongeza kwa kuonyesha uzalendo na kuthamini ulipaji wa kodi.TRA tumechukua taarifa hii kwa uzito wa kipekee na tunaenda fanyia kazi mara moja.Ni kosa kisheria kutowasilisha makato ya kodi katika mshahara na pia kuwa na vileo visivyokuwa na stika za TRA yaani ETS (Electronic Tax Stamp)TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.
-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango.
-Unyanyasaji kwa wafanyakazi.
-Halipi WCF mfanyakazi akiumia kazini ni juu yake.
-Pombe zinatengenezwa kwenye mazingira mabovu( Hamna vitendea kazi kwa wafanyakazi)
Serikali naomba mlimulike hili.
Kwanza kabisa tunakushukuru kwa taarifa hii na kukupongeza kwa kuonyesha uzalendo na kuthamini ulipaji wa kodi.TRA tumechukua taarifa hii kwa uzito wa kipekee na tunaenda fanyia kazi mara moja.Ni kosa kisheria kutowasilisha makato ya kodi katika mshahara na pia kuwa na vileo visivyokuwa na stika za TRA yaani ETS (Electronic Tax Stamp)
Akili zako ni mzigo kwenye kichwa chako , au hujui maana ya PAYE hujui umuhimu wa michango kupelekwa mifuko ya watumishi hujui umuhimu wa Osha ?Acha roho mbaya kama unataka kulipa tra si uchukue mshahara wako upeleke nyewe? Hua sipendi kulipa afu wanaiba wengine bora wote tuibe
Acha roho mbaya kama unataka kulipa tra si uchukue mshahara wako upeleke nyewe? Hua sipendi kulipa afu wanaiba wengine bora wote tuibe