Hakika kulipa sio halali kwangu kabisa nikiona watu wanavyofanya na kodi zetu hainingii akilini kabisa ila kwalqzima nitalipa ila sio kwa hiari yanguUlipe TRA halafu pesa wanatumbua akina makonda katika misafara yao ya chama.
Msafara una v8 50
wanazalisha visungura ee🐒TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.
-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango.
-Unyanyasaji kwa wafanyakazi.
-Halipi WCF mfanyakazi akiumia kazini ni juu yake.
-Pombe zinatengenezwa kwenye mazingira mabovu( Hamna vitendea kazi kwa wafanyakazi)
Serikali naomba mlimulike hili.
Hivi unajielewa kweli? Utajirike kwa kumgongo wa wafanyakazi wako? No NSSF tutaishi vipi uzeeni. Usijingalie ww tuFungua na wewe kiwanda
Ajiri watu walipe mshahara
Wakati mwingine serikali hukaa kimywa ili wawekezaji wazawa wajitafute wapate mitaji
Sasa mtu kama ww mwenye mentality ya kimasikini unaanzisha mada ya kipumbavu
Ndio mana mm nimeajiri mkewangu na watt kwqnza ili nione kiwanda changu cha alizeti kinafika wapi
Fungua na ww kiwanda kama ni rahisi ivo
Acha kazi hapo nenda kaajiriwe pengine ili ukizeeka uishi vizuri uzeeni.Hivi unajielewa kweli? Utajirike kwa kumgongo wa wafanyakazi wako? No NSSF tutaishi vipi uzeeni. Usijingalie ww tu
Hao haowanazalisha visungura ee🐒
Inauma sana ukifikiria hiliUlipe TRA halafu pesa wanatumbua akina makonda katika misafara yao ya chama.
Msafara una v8 50