McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo imesema taarifa iliyosambaa ikidai kuwa wanafunzi 309,986 hawajulikani walipo ni potoshi.
Kwenye ujumbe wao, Maelezo wamesema kwamba idadi hiyo ni ya wanafunzi walioacha shule baada ya kukagua majina yao ya kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2022 na wale waliofanya mitihani lakini baadaye wakahamia shule nyingine au kuacha masomo kwa sababu mbalimbali.