Serikali: Mwananchi Communications wamepotosha kusema wanafunzi 309,986 hawajulikani walipo

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo imesema taarifa iliyosambaa ikidai kuwa wanafunzi 309,986 hawajulikani walipo ni potoshi.

Kwenye ujumbe wao, Maelezo wamesema kwamba idadi hiyo ni ya wanafunzi walioacha shule baada ya kukagua majina yao ya kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2022 na wale waliofanya mitihani lakini baadaye wakahamia shule nyingine au kuacha masomo kwa sababu mbalimbali.

​
 
Ya clip za vyumba vya kuhifadhia wafu amekwepa kawaachia novice wa wizara husika.
Gerson mjanja sana.
Baada ya MO29 kapoa sana, analinda nafsi yake yasije yakamkuta baadaye...
Hivi ile ishu ya Msingwa kucharuka baada ya kuzushiwa ku like post ya maandamano, iliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…