GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hawa wasanii wetu asilimia kubwa ni sifuri kumkichwa.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Waufungie wimbo pamoja na msanii akajifunze kuwa na staha!Halafu uone kuwa walidhamiria mwanzoni kabisa huyo Mwanamke anasema..." Ule si waliubania?....basi waubanie na huu pia..." Yaani ni Uhuni tu.
Waufungie wimbo pamoja na msanii akajifunze kuwa na staha!
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mbona sijaona matusi hapo π
Hawa wasanii wanoiunga mkono CDM ni majanga matupu. Nadhani hawana wazazi
"Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga"Kama 'Ubongo' wako ulionao tu umejaa 'Matusi' unaweza kweli nawe ukaona ' Tusi' lolote mahala? Hebu nitokee na acha pia 'Kunipotezea' muda?
"Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga"
Hebu nionyeshe tusi hapo
Siyo kosa kuwa chadema. Lakin wanachama wengi wa chadema ubongo wao umechanganyika na santizer.
Hata huyo Lissu kama umemsikiliza vizuri utaamini ninachokisema. Badala ya kusema atalifanyia nini Taifa, yeye mwanzo mwisho ni kumponda JPM na kutoa kauli za vitisho sambamba na kukashifu miladi iliyoanzishwa na Rais.
Unasikiliza Bongo Fleva siku hizi..., au ni mgeni kwenye hii tasnia ?, Kasikilize Nandy Ft Harmonize alafu rudi ulete maelezo...
Kwa ushauri hawa watu watengeneze version tofauti..., radio / tv version, (kwa family audience) na explicit version kwa wateja wao wengine
Kwahiyo ww unatulazimisha ss tuone hayo Maelezo ni matusi km mawazo yako yalivyoona, acha ujinga hapo Hakuna matus
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu...
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu....
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "
Msaga Sumu anaendelea....
" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi niambie mapema ili niwe napakaa Mafuta nisichafuke sana "
Mwanamke aliyemshirikisha nae akaendelea.....
" Usijali hata kama hicho Chumba kimoja utakuta kina Vumbi bado unaweza tu ukakipiga Deki ili ukifurahie zaidi "
Serikali hasa hasa BASATA utafuteni huu Wimbo muusikilize na muuzuie kuendelea kwenda Hewani. Efm waliupiga leo Saa 3, ila upesi wakauotoa.
Kama 'Ubongo' wako ulionao tu umejaa 'Matusi' unaweza kweli nawe ukaona ' Tusi' lolote mahala? Hebu nitokee na acha pia 'Kunipotezea' muda?