Au ndio ule harmonize anamwambia nandy..Unasikiliza Bongo Fleva siku hizi..., au ni mgeni kwenye hii tasnia ?, Kasikilize Nandy Ft Harmonize alafu rudi ulete maelezo...
Kwa ushauri hawa watu watengeneze version tofauti..., radio / tv version, (kwa family audience) na explicit version kwa wateja wao wengine
Ehe nini tena mambo ya Chadema ,wakati hoja ni nyimbo ya Msaga sumu???mbona kuna shoga moja uwa twaliona mitandaoni limevaa nguo za Ccm,mbona kuna picha flan hivi za wadada wa vigodolo wamejibinua mpaka undernyolo zao zinaonekana kwa makusudi kabisa sio bahati mbaya hamuziongelei!! Waswahili hawakukosea kunya anye kuku akinya bata ,,,,,,,,,,,!!Siyo kosa kuwa chadema. Lakin wanachama wengi wa chadema ubongo wao umechanganyika na santizer.
Hata huyo Lissu kama umemsikiliza vizuri utaamini ninachokisema. Badala ya kusema atalifanyia nini Taifa, yeye mwanzo mwisho ni kumponda JPM na kutoa kauli za vitisho sambamba na kukashifu miladi iliyoanzishwa na Rais.
Ulisoma hadi darasa la ngapi?Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu...
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu....
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "
Msaga Sumu anaendelea....
" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi niambie mapema ili niwe napakaa Mafuta nisichafuke sana "
Mwanamke aliyemshirikisha nae akaendelea.....
" Usijali hata kama hicho Chumba kimoja utakuta kina Vumbi bado unaweza tu ukakipiga Deki ili ukifurahie zaidi "
Serikali hasa hasa BASATA utafuteni huu Wimbo muusikilize na muuzuie kuendelea kwenda Hewani. Efm waliupiga leo Saa 3, ila upesi wakauotoa.
naam..., ni full mambo ya ajabu nadhani kuna siku ulipigwa mbele ya mkuu wa nchi..., sikufuatilia huenda labda kwenye hayo maneno walibadilisha...Au ndio ule harmonize anamwambia nandy..
" baby mwaga maji nimwage mboleaa.."?!!
Wimbo wa hovyo sana huo ,, sitara hakuna kabisa mkuunaam..., ni full mambo ya ajabu nadhani kuna siku ulipigwa mbele ya mkuu wa nchi..., sikufuatilia huenda labda kwenye hayo maneno walibadilisha...
Vijana wa sasa wana kipaji sana sijui kwanini wanaweka maneno ya kutenga baadhi ya wasikilizaji...
Dah!...Hata huu wimbo wa ommy dimpoz na Nandy wangeufungia . Tango na kibamia. Unakutana njiani na katoto kadogo ka kike kanaimba kuwa kanataka tango .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka hii ya karibuni kila nyimbo ina matusi(kwa tafsida) angalau wasanii wanaorap wana afadhali....Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu.
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu.
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "
Msaga Sumu anaendelea.
" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi niambie mapema ili niwe napakaa Mafuta nisichafuke sana "
Mwanamke aliyemshirikisha nae akaendelea.
" Usijali hata kama hicho Chumba kimoja utakuta kina Vumbi bado unaweza tu ukakipiga Deki ili ukifurahie zaidi "
Serikali hasa hasa BASATA utafuteni huu Wimbo muusikilize na muuzuie kuendelea kwenda Hewani. Efm waliupiga leo Saa 3, ila upesi wakauotoa.
Hahahahaaa... Ni shida tupuHata huu wimbo wa ommy dimpoz na Nandy wangeufungia . Tango na kibamia. Unakutana njiani na katoto kadogo ka kike kanaimba kuwa kanataka tango .
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana nawe ni fani yako ya kupiga deki.Mbona sijaona matusi hapo 😎