SERIKALI NA BODI HAWAFAI, angalia:

SERIKALI NA BODI HAWAFAI, angalia:

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.

Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?

Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?

NAWAKILISHA
 
kimsingi inabidi watupatie walau hela ya chakula tu...huko chuo maana ada mtu unaweza kujipinda kulipa...au waweke wazi vigezo wanavohitaji na wale ambao hawakidhi vigezo hivo system iwakatae online ili wasiwe na tumaini hewa kama wanalokuwa nao vijana wengi.......kimsingi kama tunataka vijana wafaulu vizuri mikopo itolewe kwa usawa kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu
 
very very bad,najisikia vibaya sana kwa hili ambalo serikali inatutendea hata pesa ya chakula tu jamani tutaishi vipi huko chuo!!! future zetu zinaenda mrama wallah!! inauma sana
 
kweli bora wangehakikisha kila mwanafunzi anawata atleast 0% kuliko kuwapa wengne 100% wakat wengne wanakosa kabisa! ingawa nimepata mkopo but inaniuma kuona wenzangu wamekosa! poleni sana ndugu zanguni!
 
kimsingi inabidi watupatie walau hela ya chakula tu...huko chuo maana ada mtu unaweza kujipinda kulipa...au waweke wazi vigezo wanavohitaji na wale ambao hawakidhi vigezo hivo system iwakatae online ili wasiwe na tumaini hewa kama wanalokuwa nao vijana wengi.......kimsingi kama tunataka vijana wafaulu vizuri mikopo itolewe kwa usawa kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu

kweli mkuu. Mana inauma sana huduma uilipie then unakosa
 
kweli bora wangehakikisha kila mwanafunzi anawata atleast 0% kuliko kuwapa wengne 100% wakat wengne wanakosa kabisa! Ingawa nimepata mkopo but inaniuma kuona wenzangu wamekosa! Poleni sana ndugu zanguni!

watoe frat rate ya asilimia hamsini kwa wote kuliko wengine kuwapa mia wengine o.
 
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.

Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?

Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?

NAWAKILISHA
asante kwa kuwasilisha,pole sana
ishu ya mkopo ni kama kamari,au bahat nasibu ya jackport bingo ya babu mengi
 
duuh! hch kilio cha weng wadau,yan mie nashndwa niwadifine vip mana cpat hata jero afu kuna watu 100% hii nch ni 1 kwel?
 
very very bad,najisikia vibaya sana kwa hili ambalo serikali inatutendea hata pesa ya chakula tu jamani tutaishi vipi huko chuo!!! future zetu zinaenda mrama wallah!! inauma sana

tangu bodi ya mikopo iundwe haijawah fanya la maana,na watu wanaichekea sana,
 
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.

Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?

Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?

NAWAKILISHA

Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
 
Hata mtu wa HESLB ukimuuliza wanatumia vigezo gani kutoa loan hana jibu mujarabu
 
Maofisa wanavitambi vya fedha za bodi ya mikopo ,hivi ni vitambi vya dhambi...
 
Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.

utakua unasoma BA in kiswahili,ila ni mtazamo tu
 
Cha kusikitisha wametoa sababu ya kukosa sasa eti nimemaliza diploma zaidi ya miaka mitatu nyuma wakati nilimaliza 2011.
 
Mi nadhani ikiweka kama TCU ..kama hauna principal mbili..chuo sahau...na wao waseme kama wazazi wako wapo sahau. au kama ulisoma shule ya private sahau. Sasa wanafanya kama tunachangiana afu wanafaidika wachache na huu upatu tunaocheza...... Hivi mzazi wa nani anayepata laki mbili kwa mwezi anaweza kumsomesha mtoto wake chuo..... naona taswira ya maisha ya chuo yanavyoharibu vijana. hana hela ya kula anabaki kuwaza atakulaje,test zina msubiri with that mind unrest atafaulu vipi.....kwa kitu kama hii seriksli inachangia kwa namna nyingi kuongezeka kwa ujambazi,ukahaba na ushoga. I cry for my nation, my people and my declining generation
 
Back
Top Bottom