Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.
Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?
Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?
NAWAKILISHA