Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
nawewe acha unafiki kwanza hujaulizwa na hakuna adhimu ni hadimu au ndo umeanza kujua kiswahili nn?Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
kusoma shule binafsi siyo kigezo cha kuwa mtu ana pesa au wazazi wake wanapesa ya kulipia elimu ya juu.kila mtu ana siri yake jinsi alivyotoka huko mpaka kufika kidato cha sita. Kuna vijana wengine labda alifaulu vizuri kidato cha nne, uongozi wa shule ukaamua kumsamehe ada. Au kuna mwanafunzi alifanya vizuri shule ya msingi au kutokana na juhudi zake binafsi walimu walitamani asiishie huko.walimu wake wakamwombea msaada akasoma shule binafsi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na mzazi anakuwa anachangia madaftari na uniform tu. Na unakuta mtoto mwingine ana mzazi mmoja ambaye ana miaka zaidi ya 60 na mwanafunzi huyo amesoma shule binafsi lakini kwa mazingira niliyoeleza hapo juu na amechagua priority course lakini kanyimwa mkopo.Mi nadhani ikiweka kama TCU ..kama hauna principal mbili..chuo sahau...na wao waseme kama wazazi wako wapo sahau. au kama ulisoma shule ya private sahau. Sasa wanafanya kama tunachangiana afu wanafaidika wachache na huu upatu tunaocheza...... Hivi mzazi wa nani anayepata laki mbili kwa mwezi anaweza kumsomesha mtoto wake chuo..... naona taswira ya maisha ya chuo yanavyoharibu vijana. hana hela ya kula anabaki kuwaza atakulaje,test zina msubiri with that mind unrest atafaulu vipi.....kwa kitu kama hii seriksli inachangia kwa namna nyingi kuongezeka kwa ujambazi,ukahaba na ushoga. I cry for my nation, my people and my declining generation
kusoma shule binafsi siyo kigezo cha kuwa mtu ana pesa au wazazi wake wanapesa ya kulipia elimu ya juu.kila mtu ana siri yake jinsi alivyotoka huko mpaka kufika kidato cha sita. Kuna vijana wengine labda alifaulu vizuri kidato cha nne, uongozi wa shule ukaamua kumsamehe ada. Au kuna mwanafunzi alifanya vizuri shule ya msingi au kutokana na juhudi zake binafsi walimu walitamani asiishie huko.walimu wake wakamwombea msaada akasoma shule binafsi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na mzazi anakuwa anachangia madaftari na uniform tu. Na unakuta mtoto mwingine ana mzazi mmoja ambaye ana miaka zaidi ya 60 na mwanafunzi huyo amesoma shule binafsi lakini kwa mazingira niliyoeleza hapo juu na amechagua priority course lakini kanyimwa mkopo.
Wakati umefika sasa bodi ya mkopo waweke vigezo wazi.
Kama watoto wote ni yatima mmoja kachagua priority course mwingine kachagua non priority na yule aliyechagua priority course amekosa mkopo wakati aliyechagua non priority amepata, kwa kutumia vigezo vipi?.Tunaomba ufafanuzi kutoka bodi ya mkopo kama kuna mambo mengine tofauti na yale waliyoyaeleza ambayo huwasukuma kufanya maamuzi kama haya. Na hili suala limelalamikiwa toka bodi ya mkopo ilipoundwa.
kwa kweli inauma ila muda mwingine tusiwe wepesi wakulalamika kwa kila jambo, sifa hizo ulikuwa nazo na unafahamuvipaumbele vya kozi ambazo serikali inasomesha. Umesoma shule zipi olevel na Alevel, umefaulu vp huko Alevel na umechagulia kozi zipi zilizopo kwenye vipaumbele hivyo na ukakosa mkopo? tatizo letu wabongo nikulalamika,Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza:
1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini.
2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS)
3. Mtanzania maskini kasafiri kwenda kuipata huduma ya EMS napo ni gharama ya usafiri haijarishi unatoka umbali gani.
4. Mtanzania kaprint na kununua stationary zote zihusianazo na utumaji huo.
5. Mtanzania maskini kakosa mkopo japo kagharimishwa yote hapo juu.
Suluhisho:
1. Kama uwezo wa kusomesha ni mdogo kwa nini system isigundue kuwa idadi imefikiwa hivo izikatae 30,000 za wanaokuwa wamezidi?
2. Kama ndivyo kwanini watu wasitume maombi kwa mtandao wa internet au simu then hizi gharama za 30,000 na zinginezo zikakatwa kwenye ile pesa atakayopewa kama mkopo kwa wale walopata?
3. Kwanini tusigawiwe kidogokidogo?
Hitimisho;
1. Sasa inauma gharama zote za mkopo nimegharimia huku sijapata hata senti tano. yaani hata ile senti moja. System inadisplay not secured.
2. Kweli bil 306 zimeisha bila mlipa kodi mhitaji kupata hata senti moja?
3. Unadhani ni lini ntaipenda nchi yangu?
kusoma shule binafsi siyo kigezo cha kuwa mtu ana pesa au wazazi wake wanapesa ya kulipia elimu ya juu.kila mtu ana siri yake jinsi alivyotoka huko mpaka kufika kidato cha sita. Kuna vijana wengine labda alifaulu vizuri kidato cha nne, uongozi wa shule ukaamua kumsamehe ada. Au kuna mwanafunzi alifanya vizuri shule ya msingi au kutokana na juhudi zake binafsi walimu walitamani asiishie huko.walimu wake wakamwombea msaada akasoma shule binafsi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na mzazi anakuwa anachangia madaftari na uniform tu. Na unakuta mtoto mwingine ana mzazi mmoja ambaye ana miaka zaidi ya 60 na mwanafunzi huyo amesoma shule binafsi lakini kwa mazingira niliyoeleza hapo juu na amechagua priority course lakini kanyimwa mkopo.
Wakati umefika sasa bodi ya mkopo waweke vigezo wazi.
Kama watoto wote ni yatima mmoja kachagua priority course mwingine kachagua non priority na yule aliyechagua priority course amekosa mkopo wakati aliyechagua non priority amepata, kwa kutumia vigezo vipi?.Tunaomba ufafanuzi kutoka bodi ya mkopo kama kuna mambo mengine tofauti na yale waliyoyaeleza ambayo huwasukuma kufanya maamuzi kama haya. Na hili suala limelalamikiwa toka bodi ya mkopo ilipoundwa.
inauma sana
Hivi kwani mkopo ni guaranteed kwamba ukikosa ulalamike?bodi imepokea maombi mengi kuliko uwezo wao,sasa ulitaka ikupe wewe imnyime nani?tukubali matokeo,aliepata kapata,na aliekosa kakosa,maisha yanasonga,kulalamika ni kupoteza muda
inasikitisha sana, wamekula elfu 30 za mayatima halafu wamewanyima mkopo! shame upon you HESLB!
zanzibar na sisi tunao mkopo wao wa magumashi kwa sababu nao una ubinafsi ila nawasifu vitu viwili,kwanza unalipa sh elf mbili tu kujaza fomu na kulipia hio elf30 mpaka jina lako litoke,pia kama unasoma course za priority ie ualimu,uhandisi na udaktari huwezi kukosa,sasa hawa bodi ya mikopo ya tanzania kutuchukulia elf30 zetu bure bure sio fair
Nimesoma Taqwa div 1 pt 16. Nimemaliza DIT 2012 OD ETE. Nimepata MUST EEE. Inaelekea we mwl?kwa kweli inauma ila muda mwingine tusiwe wepesi wakulalamika kwa kila jambo, sifa hizo ulikuwa nazo na unafahamuvipaumbele vya kozi ambazo serikali inasomesha. Umesoma shule zipi olevel na Alevel, umefaulu vp huko Alevel na umechagulia kozi zipi zilizopo kwenye vipaumbele hivyo na ukakosa mkopo? tatizo letu wabongo nikulalamika,