kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
acha uboya wewe kujifanya mjuaji wa kiswahili wakati una f ya kiswahili,watu wanadiscus vya maana unatuletea ukenge apa,nenda kawafundishe kiswahili kijijini kwenu watu hawajui kusoma wala kuandika wanaendekeza unyago.